Habari… Tumaini langu wote mnaendelea vizuri, Leo tutafundisha ni namna gani unaweza ukafanya simu yako ya smart phone kuwa na muonekano kama wa iphone. Njia hii imeshajaribiwa na wamafunzi wangu Zaidi ya 19 waliojaribu nakufanikiwa kwa 100%.
MAHITAJI.
01.Muda na umakini.
02.Simu yako ya smart phone.(NO NEED ROOTED)
03.Tumia link za hapo chini ku-download kwa kila App ya kwenye kila hatua.

Fata hatua zifatazo kwa umakini ilikufanikisha zoezi ili kufanikisha zoezi ili.
HATUA 01.
Kwenye simu yako nenda kwenye setting > security > unknow source > weka tiki hapo au OK

HATUA 02.
Download Application inaitwa ‘’ilaucher’’ nahui-download.(Usije ukaifungua wala kubonyeza neno open baada ya kuidownload) luka na uende hatua ya 3.

HATUA 03.
Download na iinstall App inaitwa “inoty” nje ya playstore.(kisha ifungue na iuruhusu kufanya kazi).

HATUA 04.
Download na iinnstall App inatwa “ios7 keyboard”.(Kisha ifungue na uiruhusu kuwa default keyboard yako).

HATUA 05.
Nenda playstore kwenye simu yako kisha Download App inaitwa ilock na uiisntall kisha weka lock yako unayoipenda.

HATUA 06.
Rudi back na uende kwenye menu ya simu yako kisha tafuta App inayoitwa “ilauncher” ambayo ulidownload kwenye hatua ya pili bila kuifungua.

HATUA 07.
Fungua App hiyo ya “ilauncher” na uiruhusu kuwa default launcher kwenye simu yako.

Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kuweka muonekano wa iphone katika simu yako.
@rahmsaytz
@rahmsaytz
0 Comments