JINSI YA KUWEKA LOCK YA PATTERN KWENYE COMPUTER YAKO.

JINSI YA KUWEKA LOCK YA PATTERN KWENYE COMPUTER YAKO.

Habariii…

Tumaini langu kila mmoja anaendelea vizuri,,na leo tumekuja nasomo jipya kabisa , tutafundisha ni namna gani unaweza kuwashangaza marafiki zako kwakuona aunatoa lock ya pattern kwenye computer yako.


MAHITAJI.

01.Computer yenyewe unayotaka kuweka password.


02.Software itakayo kuwezesha kuweka password kwenye computer yako.

SIFA ZA SOFTWARE HII.

01.Inaonesha date and time pale display inavyokuwa locked.

02.Unapokuwa hauitumii computer yako mwanga wa display unaondoka wenyewe kama kwenye simu.

03.unapokuwa au-download kitu kwenye PC yako pia auitumii inajidisconnect
internet yenyewe.

04.inakubali kwenye monitor karibu zote za computer.

05.unaweza kuweka background image kama kwenye simu.

06.Upiga alam pale mtu anapokose kuchora pattern yako kwenye computer yako.

HIVYO ILI KUFANIKISHA ZOEZI ILI FATA HATUA ZIFATAZO.

HATUA.

Hatua no. 01

Download Software hii …hapo chini kupitia link hii



Hatua no.02.

iinstall hiyo software na baada ya kuifungua Click finish.

Hatua no. 03

Software itafunguka na utaonaona OPTION tatu kama ifatavyo.

*RESET PATTERN-sehemu itakusaidia kuweka pattern yako kwenye PC yako(usiibonyeze iache ya mwishe)

*GENERAL-sehemu hii itakusaidia kufanya settings za hii software kama ku-lock key board n.k

*BACKGROUND-hapa utaweza kuweka picha yako kama Lock screen wallpaper


Hatua no. 04.
Itakuomba uinginze REGISTRATION CODE hapo uta-click kwenye neno skip.

Hatua no. 05.
Rudi kwenye desktop yako tafuta ICON limeandikwa hivi EML.setup Click kama unaifungua, baada ya kufunguka nenda kwenye sehemu iliyoandikwa RESET PATTERN na uzirudie kwa kuhakikisha kisha bonyeza hapo na uweke pattern zako kisha bonyeza OK.

**Computer itaji-lock kwa pattern automatically hivyo utachora pattern zako kwakutumia mouse na baada ya hapo itafunguka na ukikosea mara tatu itapiga alamu.

Mpaka hapo utakuwa umefanikisha kuweka lock ya pattern kwenye computer yako.

CHAKUJUWA.

Software hiyo haijawa full activated or Registed by code hivyo hitafanya kazi kwasiku chache na kudai kuilipia hili kupata Activation code zake.

Activation code ambazo zitakufanya utumie bila kikomo utaitajika ulipie

ANGALIZO

Kuwa makini unapoweka pattern zako au kuchoro zirudie kwa uhakika na hakikisha uwezi zisahau.Endapo itatokea ukazisahau hakuna sehemu ya kuset pattern hivyo itakugharimu katika zoezi ilo.

Post a Comment

0 Comments