DARASA LA KOMPUTA KWA KISWAHILI

DARASA LA KOMPUTA KWA KISWAHILI
1 Aina za wireless modes
1. Addhoc  mode.  (Hakuna router)
2. infrastructure mode (kuna router)
: chanzo :Cisco.  wireless design chapter 1
____________________________________
2 Tofauti kati ya wireless router na access point
router ni layer 3. Access point ni layer 2...
source: cosco wireless design
____________________________________
3 tofauti ya Mac address na IP Address
MAC ADDRESS ni base 16 number system. Zipo katika field sita. kila field moja ina value mbili zimetenganishwa kwa dash au colon mfano AD-4C-AA-7E-E1-3D
while IP address ni base two number system ..zipo  biti 32. Katika octects nne   kila octet moja ina biti nane  8x4=32. zimetenganishwa kwa period.  Mfano 00010101.00001111.01010101.00110011  lakini Kwenye host inawekwa kama decimal doted. Mfano 172.16.201.200
:  source...Cisco it essentials  
__________________________________
4.     i/ home page:  ni page ya kwanza katika website (standard ni index.php/html)
        ii/ web page:  page moja katika web
        iii/ website: page zaidi ya moja katika webserver ambazo zimeunganishwa 
         iv/ webserver: computer iliyohifadhi website
         V/ serverside:  huduma zinazotolewa na server kwa Msaada wa software na lugha za web...kama apache/mysql/php
      
source:  oracle   
__________________________________
5.  i/ IP address :  ni namba ya pekeyake inayotambulisha kifaa katika network husika
      ii/ subnet mask: ni namba inayotambulisha sehemu ya host na ya network. Katika IP address
     iii/ default gateway:  njia ya kutokea/interface inayoruhusu local host  kwenda Kwenye remote host. Mfano fast_Ethernet 0/1
Source: Cisco IT essentials NETWORK
__________________________________
6. ether channel: kutengeneza logical link katika switch  kusudi  kuongeza LAN bandwidth
SourceCISCO CCNA scaling network 
__________________________________
7. i/  hyper text transfer protocol: http.  hii ni kanuni ya mawasiliano inayowezesha hyper text document kusafirishwa kutoka kwa webserver kwenda kwa client
  ii/ hyper text document:  hili ni file lenye kusafirishwa au lililopo Kwenye website. 
iii/ Hyper text markup language:  hii ni lugha ya kutengeneza webpage
source: unknown
__________________________________
7. i/ cold boot:  mtumiaji wa computer anapoiwasha kwa kubonyeza button
    ii/ BOOT MBR:  file katika windows linaloshuhulika na uwakaji wa pc
    iii/ BOOT INIT: file katika Linux. Linaloshuhulika na kuleta sehemu ya kuweka password katika uwakaji
    iV/  3G:  kizazi cha tatu/third generation. Katika cellular broadband yenye uwezo wa kusafirisha  picha,sauti,data,video katika Chanell moja kwa mwendo wa kasi
     V/ 2G: kizazi cha pili/ 2nd generation katika teknolojia ya cellular broadband chenye uwezo wa kusafirisha  sauti, multimedia,text,
      Vi/ 3D:   pande tatu/three dimensions katika utengenezaji wa graphics.  Umbile lenye kuonekana kwa realistic image and textures.
        Vii/ HD:  muonekano wa mfumo data computer  katika hali ya juu.  Clear high resolution. iliyotokana na kubananishwa kwa pixels
     Viii/ RGB component:   ni jumla ya rangi tatu. Yani RED, GREEN, BLUE  ambapo rangi zote zinatokana na hizo katika mashirikiano yao  mfano kila rangi moja ina value 255
PURE RED =
red iwe 255
Green iwe 0
blue iwe 0
na kwamba red ikipungua hata 1. ikawa 254, au 200 sio pure red Téna .......na pia pure green   green iwe 255 nyingine zote 0 ......ukichanganya namba unapata rangi nyingine
    iXRGB composite.    ni cable zinazosafirisha analog video na audio signals.    Mfano wa hizi ni zileNyeupe, njano,na nyekundu. Za Kwenye TV na deki
   X/  DVI.    cable inayosafirisha mawimbi ya analogia na digitali      

Source:  google , Cisco it essentials, oracle
MWISHO

Post a Comment

0 Comments